Hosea 4:7-8

7 aKadiri makuhani walivyoongezeka,
ndivyo walivyozidi kutenda dhambi dhidi yangu,
walibadilisha utukufu wao kwa kitu cha aibu.
8 bHujilisha dhambi za watu wangu
na kupendezwa na uovu wao.
Copyright information for SwhNEN